Zanzibar kuwakutanisha wataalamu wa mafuta na gesi Afrika
Unguja. Wakati Zanzibar ikiendeleza jitihada za kuboresha sekta ya gesi na petroli, unatarajiwa kufanyika mkutano mkubwa utakaowakutanisha wataalamu wa sekta hiyo kutoka ndani na nje ya Afrika. Mkutano huo utajadili mbinu mpya na matumizi ya teknolojia ya kisasa katika kuendeleza rasilimali hizo muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi. Tayari Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kupitia…