Tuwaombee… Dabi imeshika hatma zao
JUNI 25 kinapigwa Uwanja wa Mkapa kati ya Yanga dhidi ya Simba mchezo ambao ulipiga kalenda, lakini sasa hakuna kipengele tena ni lazima kiwake. Mchezo huo weka mbali mambo ya ugumu ulionao, lakini safari hii unakwenda kutoa picha halisi kwamba nani atakuwa bingwa wa msimu huu. …