
Kutoka mauaji, mipango hadi askari kunyongwa-1
Dar es Salaam. “Kesi hii inaonesha hali ya kusikitisha na ya kushangaza, askari polisi ambao waliapa kulinda sheria na usalama wa maisha na mali za raia, sasa wameshtakiwa kwa kosa kubwa la kutisha la mauaji linaloweza kuharibu kabisa uaminifu wa kipekee uliowekwa kwao, badala ya kuwa kimbilio kwa watu wenye hofu, uwepo wao sasa unasababisha…