WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA MITAMBO 10 YA UCHORONGAJI KWA WACHIMBAJI WADOGO

-Asisitiza dhamira ya Serikali kuwainua wachimbaji wadogo kiuchumi -Mitambo Yagharimu shilingi bilioni 12.41 -STAMICO yasaini mkataba wa ushirikiano na VETA Dodoma, Katika mwendelezo hatua za Serikali kuendelea ya kuimarisha sekta ya wachimbaji wadogo nchini, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amezindua rasmi mitambo 10 ya uchorongaji kwa ajili ya wachimbaji…

Read More

SEKTA YA NISHATI YACHANGIA ASILIMIA 14.4 YA PATO LA TAIFA

 Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Sekta ya Nishati ni moja kati ya Sekta tatu nchini ambazo zimechangia ukuaji wa pato la Taifa katika kipindi cha kati ya mwaka 2015 hadi 2025. Kapinga ameyasema hayo wakati akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mipango na Uwekezaji Bungeni Jijini Dodoma.  “Mheshimiwa Mwenyekiti ukiangalia kwa tathmini…

Read More

Mawaziri wamzungumia Samia utekelezaji wa miradi

Dar es Salaam. Mawaziri wa Tanzania juzi usiku wametoboa siri ya namna miaka minne ya utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan alivyoifungua nchi, kuirudisha kwenye misingi ya Baba wa Taifa na kutoa masomo mpya kuhusu uongozi nchini. Wakizungumza katika nyakati tofauti kwenye Kongamano la Mwananchi Jukwaa la Fikra lililoandaliwa na kampuni ya Mwananchi Communications Limited…

Read More

MZUMBE YASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA TAASISI YA UWAKALA WA VYUO VIKUU NJE YA NCHI KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha (wa pili kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uwakala wa Vyuo Vikuu Nje ya Nchi (Global Education Link ltd) Bw. Abdulmalik S. Mollel (wa pili kulia) wakisaini hati ya Makubaliano ya Ushirikiano baina ya Taasisi hizo. ********* Chuo Kikuu Mzumbe kimeingia katika hatua mpya ya…

Read More

Mwanamke asipoona hedhi damu yake inakwenda wapi?

Dar es Salaam. Umeshawahi kukosa hedhi miezi miwili au mitatu, ukawa unaishi kwa hofu ukidhani una mimba, Je? Ulichukua hatua gani, ulishafikiria ile damu ambayo haikutoka ilienda wapi? Wataalamu wa afya wamesema mwanamke anapokosa hedhi, damu hubaki ndani, hujengeka na wakati mwingine ikisababisha maumivu na hupunguza nafasi ya kushika mimba. Akizungumza na Mwananchi leo Juni…

Read More

Jeshi la Polisi latoa uhakika wa usalama Kariakoo Dabi

Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam limewahakikishia usalama wananchi katika mechi ya Simba na Yanga inayotarajiwa kuchezwa kesho Jumatano Juni 25, 2025 huku ikiwaonya wenye lengo la kuleta vurugu na udhalilishaji. Mchezo huo namba 184 wa raundi ya pili wa Ligi Kuu ambao awali ulipangwa kuchezwa Machi 8, 2025, uliahirishwa baada ya…

Read More

Ntibonela Bukeng aongoza tena kutupia BDL

NYOTA wa kikapu wa Savio, Mkongomani Ntibonela Bukeng anaendelea kuongoza kwa ufungaji katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), akiwa keshatupia nyavuni pointi 213. Idadi hiyo ya alama alizotupia mchezaji huyo ni kiashiria kwamba anakimbiza kwa kasi tuzo ya utupiaji katika mashindano hayo kwani wiki tatu zilizopita Bukenge aliongoza kwa pointi 124…

Read More

HEINEKEN SILVER YAPOKELEWA KWA SHANGWE

BAADA ya uzinduzi wa Heineken Silver  kinywaji kipya chenye ladha laini na ubora usio na mpinzani wakazi wa jiji la Dar es Salaam na mikoa mingine wamekipokea kwa shangwe, wakisifu ubora wake na jinsi kilivyotengenezwa kwa viwango vya kimataifa. Uzinduzi huo wa kipekee ulifanyika usiku wa kuamkia Juni 22, 2025 katika viunga vya Mlimani City…

Read More