MAONESHO YA BIT KUIPA MOTISHA TASNIA YA MITINDO NA UREMBO NCHINI

Wadau Wa Tasnia ya Urembo na Mitindo waombwa kujitokeza kwa wingi katika Maonesho ya Kiwanda cha Urembo ( Beauty industry Tanzania) linalotarajiwa Kufanyika Septemba 05,2025 Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.  Akizungumza na Michuziblog Muandaaji wa Tamasha hilo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Beauty industry Tanzania (BIT) Precious Joseph  amesema Kumekuwa na Matamasha…

Read More

Simba kutozwa faini kukacha kikao

KUELEKEA mchezo wa Dabi ya Kariakoo, Simba imeshindwa kutokea katika mkutano wa pili wa maandalizi ya mechi hiyo inayotarajiwa kuchezwa kesho kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam hivyo itapigwa faini ya Sh500,000. Mapema leo asubuhi Simba imeshindwa kutokea kwenye mkutano wa makocha na wanahabari uliofanyika makao makuu mdhamini wa ligi hiyo huku Yanga ikitokea….

Read More

Mfahamu Dk Alicia Massenga Mkurugenzi mpya wa Bugando

Mwanza. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limemteua Dk Alicia Massenga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, iliyopo jijini Mwanza. Taarifa kwa umma iliyotolewa leo Jumatatu, Juni 23, 2025 na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa hospitali hiyo, Dk Bahati Wajanga imesema Dk Alicia ataanza majukumu yake leo. “Rais wa Baraza la Maaskofu…

Read More

Kesi ya mgawanyo wa rasilimali Chadema yakwama

Dar es Salaam. Kesi ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali inayokikabili  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyokuwa imepangwa kusikilizwa leo, Jumanne, Juni 24, 2025 imekwama. Kesi hiyo  imefunguliwa na Said Issa Mohamed, Makamu Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho Taifa- Zanzibar, Ahmed Rashid Khamis na Maulida Anna Komu, ambao ni wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa chama…

Read More

Mkongomani kumchomoa Diao Azam FC

UONGOZI wa Azam FC upo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa AC Rangers ya Congo, Enock Lihonzasia. Azam FC ikiwa na mpango wa kunasa saini hiyo, inaelezwa anakwenda kuchukua nafasi ya Alassane Diao ambaye mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu huu. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Azam FC kimeliambia Mwanaspoti kuwa…

Read More

Bwalya mambo safi Pamba Jiji

UONGOZI wa Pamba Jiji umefanikisha kuinasa saini ya aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba raia wa Zambia, Rally Bwalya, baada ya mwanzo mwa msimu huu dili la nyota huyo kukwama katika dakika za jioni na kushindwa kukichezea kikosi hicho. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo, zimeliambia Mwanaspoti kuwa Bwalya ameshasaini mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele…

Read More

Kisa dabi, kikao kizito Yanga

WABABE wa soka la Bongo, Simba na Yanga wanakutana kesho katika mechi ya Dabi ya Kariakoo ambayo imetawaliwa na mambo kibao na ambayo imekuwa ikitembea kwa muda mrefu na kaulimbiu moja kwa muda mrefu kabla ya kuamriwa kwamba itapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kabla ya dabi hiyo ambayo inahitimisha rasmi msimu…

Read More

Undani kibano cha CCM kwa wagombea, uteuzi wa Rais Samia

Dar es Salaam. Baada ya tetesi zilizodumu kitambo, hatimaye rasmi viongozi wa Serikali waliohusishwa na nia za kuutaka ubunge katika majimbo mbalimbali, wameondolewa kwenye nafasi zao, huku wadau wa siasa wakisema, uamuzi huo umelenga kuweka mizania sawa miongoni mwa wagombea. Hatua ya kuondolewa kwa viongozi hao, inakuja zikiwa zimesalia siku tano kabla ya Chama Cha…

Read More