Miloud: Tupo siriazi, tunataka ushindi
Kocha wa Yanga, Hamdi Miloud amesema kesho timu yake ipo tayari kwa mechi hiyo kubwa na kwamba wako siriazi ili kushinda mchezo huo. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kabla ya mechi, Miloud amesema timu yake baada ya kuahirishwa mara mbili kwa mchezo huo haikutoka mchezoni kwani waliendelea na maandalizi. Mchezo huo wa…