Chadema kukabana kwa hoja mahakamani leo kesi ya mgawanyo wa rasilimali
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, leo Jumanne Juni 24, 2025, inatarajiwa kusikiliza kesi ya msingi ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali inayokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Kesi hiyo imefunguliwa na Said Issa Mohamed, Makamu Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho Taifa, Zanzibar; Ahmed Rashid Khamis na Maulida Anna Komu,…