TANI 2302.37 ZA BANGI ZAKAMATWA

……….. Na Ester Maile Dodoma  Bangi imeendelea kuwa dawa ya kulevya iliyokamatwa nchini kwa kiwango kikubwa kwa mwaka 2024 ikiwa ni jumla ya tani 2,302.37. Hayo yameelezwa mbele ya waandishi wa Habari jijini Dodoma na  William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu)  “leo June 23,2025 amesema kuwa”kati ya hizo,…

Read More

BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA

 :::::: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokewa na viongozi wa chama na serikali, wakiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndugu Dadi Musa Matoroka (kulia pichani) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paul Makonda, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kisongo Arusha. Wengine…

Read More

MAJALIWA AZIPA WIKI TANO TAASISI ZA SERIKALI KUJIUNGA NA MFUMO UNAOWEZESHA SERIKALI KUWASILIANA

……,.,…….. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo hazijajiunga na mfumo wa kielektroni utakaowezesha mifumo ya Serikali kuwasiliana (GovESB) kujiunga na mfumo huo ifikapo Julai 30 mwaka huu ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia  katika kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa wananchi.   Ametoa maagizo hayo leo Jumatatu (Juni 23, 2025) alipomwakilisha Rais Dkt….

Read More

SERIKALI KUANDAA MIPANGO 2,480 YA MATUMIZI BORA YA ARDHI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 4 ,VIJIJI 4,679 KATI YA VIJIJI 12,333 NCHI NZIMA

 Na Vero Ignatus,Arusha SERIKALI imeandaa jumla ya mipango ya matumizi bora ya ardhi 2,480 katika kipindi cha miaka minne ambapo vijiji 4,679 vimewekwa katika mipango hiyo kati ya vijiji 12,333 nchi nzima.  Hayo yamesemwa leo Juni 23, 2025 Jijini Arusha na Katibu Mkuu  Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi,Mhandisi Anthony Sanga kwa…

Read More

UJENZI KITUO CHA KUPOZA UMEME NKANGAMO-MOMBA KUKAMILIKA MEI 2026

 ::::::: Naibu  Waziri wa Nishati,Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Nkangamo- Momba  unatarajiwa kukamilika Mei mwakani. Kapinga ameeleza hayo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe (CCM) ambaye aliuliza ni lini Serikali itaanza ujenzi wa Kituo cha kusambaza umeme Nkangamo – Momba.  Kapinga amesema…

Read More

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA UBALOZI WA ITALIA

..,………… Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Philip Mpango ametembelea Kampuni ya Kimataifa ya Uzalishaji Vifaa Tiba ya Health 3000 iliyopo Roma nchini Italia leo tarehe 23 Juni 2025. Makamu wa Rais amefanya mazungumzo na viongozi wa kampuni hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo Maurizio Flammini pamoja na Mkurugenzi Mtendaji…

Read More

Hali ya hewa kali itasababisha uchumi na mazingira ya Asia, inasema Shirika la Hali ya Hewa la Dunia – Maswala ya Ulimwenguni

Mnamo Septemba 2024 mvua kubwa ilisababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi huko Nepal, vijiji kama Roshi wilayani Kavre viliathiriwa. Mikopo: Barsha Shah na Tanka Dhakal (Bloomington, USA) Jumatatu, Juni 23, 2025 Huduma ya waandishi wa habari BLOOMINGTON, USA, Jun 23 (IPS) – Asia inaelekea kwenye hali mbaya zaidi ya hali ya hewa na uwezekano wa…

Read More

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASISITIZA WATUMISHI WA UMMA KUTOA HUDUMA BORA, TCAA YATOA ELIMU KUHUSU USAFIRI WA ANGA

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amewataka watumishi wa umma kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuzingatia weledi, uadilifu na maadili ya utumishi wa umma. Mhe. Majaliwa aliyasema hayo Juni 23, 2025, katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

Read More

WARAGHIBISHI WAJENGEWA UWEZO KUCHOCHEA USAWA WA KIJINSIA

Na Deogratius Koyanga, Kondoa Zaidi ya Waraghibishi 30 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa (DC) na Halmashauri ya Mji wa Kondoa (TC) wamepata mafunzo kabambe ya siku nne yaliyolenga kuwajengea uwezo wa kuongoza mabadiliko katika jamii zao kwa mtazamo wa kijinsia. Mafunzo hayo yamefanyika katika Viwanja vya Riverside, Kondoa Mjini, yakiratibiwa na Mtandao wa Jinsia…

Read More

Elimu Kuhusu OWM Sera, Bunge na Uratibu Kuendelea Kutolewa

Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi wa Idara ya Uwezeshaji Kiuchumi na Maendeleo ya Sekta Binafsi Conrad Milinga amesema, maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yamewezesha Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kutoa elimu juu ya fursa mbalimbali za kiuchumi kupitia mikopo na mifuko ambayo iko katika sekta mbalimbali zinazohusiana na uwezeshaji wananchi kiuchumi….

Read More