CCM yatangaza kibano kingine kwa wagombea
Dar es Salaam. Kibano kingine kimewashukia wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), baada ya chama hicho kutangaza kusitisha matukio yanayowahusisha wajumbe wanaopiga kura za maoni. Matukio yaliyotangazwa kusitishwa na chama hicho ni ziara, semina na makongamano yanayowahusisha wajumbe wa vikao vinavyowapigia kura za maoni wagombea. Kibano hicho kinaongeza makali kwa wagombea…