Maandalizi Sabasaba yafikia asilimia 85, maguta, malori marufuku uwanjani.
Dar es Salaam. Wakati maandalizi ya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) maarufu Sabasaba yakiwa yamefikia asilimia 85, walioegesha malori karibu na uwanja huo wametakiwa kuyatoa kuanzia sasa. Pia, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amezitaka taasisi za Serikali kuongeza kasi katika uandaaji wa mabanda yao ili maonyesho yanapoanza wawe…