Watahadharishwa kuchunga ndimi zao kuelekea uchaguzi mkuu
Mbeya. Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanasiasa kuepuka mihemko kwenye majukwaa katika kipindi hiki ikiwa imebaki miezi minne kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Hatua hiyo imetajwa kusababisha uvunjifu wa amani na kuwagawa Watanzania wenye nia njema na Serikali yao. Hayo yamebainishwa leo Juni 23, 2025 na Mjumbe wa Halmashauri Kuu…