Ushindi Mkubwa Upo Mechi ya Seattle Sounders vs PSG
NI Jumatatu nzuri kabisa ya mwezi Juni ambayo wewe kama mteja wa Meridianbet hauna haja ya kujiuliza utapiga pesa wapi. Sehemu ni moja tuu napo ni Meridianbet ndani ya promosheni yao inayoendelea ya kubashiri na GG&3+ na kushinda mara mbili. Bado mashindano ya Kombe la Dunia ngazi ya vilabu yanaendelea huko Marekani ambapo tayari timu…