Marekani ilivyotekeleza mashambulizi ya siri Iran bila kugundulika
Tehran. Swali kubwa kwa sasa ni Marekani imewezaje kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran bila kugundulika? Katika taarifa yake kwa umma jana Jumapili, Rais wa Marekani, Donald Trump akizungumza na waandishi wa habari Ikulu ya White House, alisema ndege zake zimeshambulia miundombinu ya nyuklia ya Iran kwa mafanikio. Alitaja maeneo yaliyolengwa na mashambulizi hayo kuwa…