
Karume yafunika, mashabiki wapagawa | Mwanaspoti
PAREDI la Yanga limeibua shangwe saa chache baada ya kuingia mtaa wa Karume shangwe na ongezeko la mashabiki wakiusindikiza msafara limetawala. Yanga imewasili Karume 16:00 na kusababisha msongamano wa watu barabarani huku magari yakishindwa kuendelea na safari. Gari hiyo iliyobeba wachezaji, viongozi na mataji ya timu hiyo msimu huu ilisimama kwa muda Karume na kuwapungia…