DC KYOBYA: KILOMBERO KUWA MFANO WA KUENDELEZA VIPAJI VYA WATOTO

Farida Mangube, Kilombero, Morogoro. Mkuu wa wilaya ya Kilombero, Wakili Dunstan Kyobya, ameeleza mpango wa kuifanya wilaya hiyo kuwa eneo la mfano kitaifa katika kuendeleza vipaji pamoja na uwezo binafsi wa watoto na vijana, akisisitiza kupitia halmashauri zake mbili za Mlimba na Halmashauri ya Mji Ifakara, watasimamia utekelezaji wa mipango thabiti ya kuimarisha stadi za…

Read More

Access Bank Tanzania Yakamilisha Ununuzi wa Kitengo cha Huduma za Wateja Binafsi, Wafanyabiashara na Biashara wa Kati wa Benki ya Standard Chartered

Benki ya Access Tanzania yapanua huduma zake nchini, yaimarisha huduma za kibinafsi na biashara, na kuchochea ujumuishaji wa kifedha kwa Watanzania wote. Dar es Salaam, 23 Juni 2025 – Access Bank Tanzania leo imetangaza rasmi kukamilika kwa mafanikio ya ununuzi wa kitengo cha Huduma za Wateja wa Kawaida, Binafsi na Biashara cha Benki ya Standard…

Read More

Singida Black Stars yaanza na mashine hii

UNAMKUMBUKA kiungo mshambuliaji Raouf Bao ambaye alionyesha kiwango bora katika mashindano ya Mapinduzi Cup 2025 yaliyofanyika Zanzibar akiwa na kikosi cha timu ya taifa Burkina Faso? Sasa inaelezwa nyota huyo wa AS Sonabel ya Ouagadougou yupo katika mazungumzo ya kina na klabu ya Singida Black Stars, ili kutua kwa msimu ujao wa mashindano. Singida ambayo…

Read More

Yusuph Athuman arudi bongo | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI Yusuph Athuman aliyekuwa anakipiga Yangon United inayoshiriki Ligi Kuu ya Myanmar amesema amerejea nchini baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo nchini humo. Athuman alijiunga na timu hiyo Aprili mwaka huu akitokea Tanzania Prisons, aliyokuwa anaitumikia kwa mkopo akitokea Fountain Gate, ambayo hakuwahi kuichezea mchezo hata mmoja. Akizungumza na Mwanaspoti, Athuman alisema amerejea nchini…

Read More

WASHIRIKI 1500 KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI KUSHIRIKI KONGAMANO LA KILIMO NA LISHE

Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV WATALAAM zaidi 1500 wawekimo Wanasayansi, watunga sera kutoka sehemu mbalimbali duniani wanatarajiwa kushiriki Kongamano la Kimataifa la Kilimo na Lishe linalotarajia nchini Tanzania. Akizungumza leo Juni 22,2025 jijini Dar es SalaamNaibu Makamu Mkuu wa SUA anayesimamia Taaluma, Utafiti na Ushauri wa Kitaalamu, Prof. Maulid Mwatawala, alisema kongamano hilo limeandaliwa kwa ushirikiano…

Read More

Standard Chartered yakamilisha uhamishaji biashara za kibenki kwa wateja wa hali ya juu na reja reja kwa Access Bank PLC

Tunayo furaha kutangaza kukamilika kwa uhamishaji wa biashara ya huduma za kibenki kwa wateja wa Hali ya juu na wa kawaida (rejareja) ya Standard Chartered kwa Access Bank PLC. Uhamisho huu ni sehemu ya mkakati wa kimataifa wa Standard Chartered, unaolenga kuongeza ufanisi wa uendeshaji, kupunguza ugumu, na kuongeza uwezo wa kutoa huduma kwa kiwango…

Read More

Hesabu za Tabora United zipo kwa kipa Mghana

MABOSI wa Tabora United wameanza harakati za kukisuka upya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao ili kuongeza ushindani katika michuano mbalimbali na wanampigia hesabu kipa, Fredrick Asare anayeichezea Asante Kotoko ya Ghana. Taarifa kutoka katika timu hiyo ya ‘Nyuki wa Tabora’, zinaeleza mabosi wa kikosi hicho wanampigia hesabu kipa huyo raia wa Ghana, kwa…

Read More

Mgunda ashikilia hatma ya Kagere

HATMA ya mshambuliaji mkongwe wa Namungo, Meddie Kagere ‘MK14’ kuendelea kuwepo katika kikosi hicho kwa msimu ujao ipo kwa kocha wa timu hiyo, Juma Mgunda baada ya nyota huyo aliyefanya makubwa kwenye soka la Tanzania, mkataba alionao kumalizika. Kagere anayeshikilia rekodi ya kuwa mchezaji pekee aliyetwaa Tuzo ya Mfungaji Bora na kuitetea katika Ligi Kuu…

Read More

Shafii Lumambo anasikilizia Uturuki | Mwanaspoti

KIUNGO mshambuliaji wa Kitanzania anayekipiga Beykoz Anadolu Spor ya Uturuki, Shafii Omary Lumambo amesema bado hajasaini mkataba mpya na chama hilo, zikiwa zimesalia siku chache kumaliza mkataba wa awali unaotamatika Juni 30. Nyota huyo alisema timu hiyo, ambayo awali ilikuwa inaitwa Tuzlaspor, iliuzwa na kununuliwa na chama la sasa, hivyo bado hajafahamu hatma yake kama…

Read More