Fedha ni nini kwa maendeleo? – Maswala ya ulimwengu

Hizi ni sehemu ya malengo 17 yaliyokubaliwa na karibu kila nchi, inayoitwa Malengo endelevu ya maendeleo (SDGS). Mpango ni kugonga malengo haya ifikapo 2030. Lakini tunaanguka nyuma. Sababu moja kubwa? Hakuna fedha za kutosha za kufanya maendeleo ya kweli. Ndio sababu viongozi wa ulimwengu, wachumi, na watoa maamuzi wengine wanakutana mwishoni mwa mwezi huu huko…

Read More

Bajeti ya EAC kusomwa, kujadiliwa mtandaoni kesho

Arusha. Bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ya mwaka wa fedha 2025/2026 inatarajiwa kusomwa kesho Jumatatu katika kikao kitakachofanyika kwa njia ya mtandao (virtual meeting) kutokana na ukata wa kifedha unaoikabili jumuiya hiyo. Katika makadirio ya mwaka huu wa fedha, kiwango cha fedha kinatarajiwa kuwa pungufu kwa kile cha mwaka wa fedha uliopita kilichokua…

Read More

Yanga yaendelea kugawa dozi nzito

WATETEZI wa Ligi Kuu Bara, Yanga imeendeleza ubabe ikisaka taji la msimu wa nne mfululizo kwa kuifumua Dodoma Jiji kwa mabao 5-0, ikiwa ni mechi ya 10 kushinda katika ligi hiyo ikisaliwa na mechi moja ya kufungia msimu dhidi ya watani wao wa Jadi, Simba ilishinda pia 1-0 jioni hii. Yanga ilipata ushindi huo uliokuwa…

Read More

Matteo, Adam wakiri mambo magumu

BAADHI ya washambuliaji wa Ligi Kuu Bara, Adam Adam wa Tanzania Prisons, Matteo Antony wa JKT Tanzania na Tariq Seif wa Kagera Sugar, wamekiri msimu huu haukuwa mzuri kwa upande wao. Adam ambaye msimu uliyopita akiwa na Mashujaa alimaliza na mabao saba, jambo lililoishawishi Azam kumrejesha kikosini kabla ya kumtoa kwa mkopo Prisons ambako kabla…

Read More

Moussa Camara kipa bora 2024/25

Nyota wa Simba, Moussa Camara ameibuka kipa bora wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024-2025, baada ya kufikisha ‘Clean Sheets’ 19, ikiwa ni msimu wake wa kwanza hapa nchini tangu ajiunge na kikosi hicho akitokea Horoya AC ya kwao Guinea. Camara ameibuka kipa bora baada ya mshindani wake mkubwa, Djigui Diarra wa Yanga kukosekana…

Read More

Matukio ya ukatili yazidi kukithiri Zanzibar

Unguja. Idadi ya matukio ya ukatili na udhalilishaji imeongezeka kwa asilimia 4.9, kutoka matukio 102 yaliyoripotiwa Aprili, 2025 hadi kufikia matukio 107 Mei mwaka huu, kisiwani hapa. Akitoa takwimu za matukio hayo leo Jumapili, Juni 22, 2025, Mtakwimu Ahmada Hassan Suleiman kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), amesema miongoni mwa…

Read More