Waandikishaji wapigakura watakiwa kuzingatia viapo | Mwananchi
Unguja. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeanza rasmi mafunzo kwa waandikishaji wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki (BVR) watakaosimamia kazi ya uandikishaji wa wapigakura katika vyuo vya mafunzo (Magereza) Zanzibar, huku wakikumbushwa kuzingatia maadili na viapo vyao wakati wa kutekeleza jukumu hilo muhimu. Mafunzo hayo ya siku tatu yalianza Juni 22 na…