Wiki ya lala salama bungeni, mawaziri…

Dodoma. Safari ya miaka takriban mitano ya uhai wa Bunge la 12 unafikia tamati siku tano zijazo, huku ikishuhudiwa mawaziri wakiwa katika kibarua cha kupangua hoja zilizoibuliwa wakati wa mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/26. Uhai wa Bunge hilo, lililozinduliwa Novemba 13, 2020 na Rais wa awamu ya tano, hayati John Magufuli,…

Read More

Wahamasishwa usafi wa fukwe, ufanyaji mazoezi

Dar es Salaam. Wakati Serikali kwa kushirikiana na wadau wa mazingira wakiendelea na juhudi za kuweka mazingira safi ya fukwe za bahari ya Hindi wale wenye tabia ya uchafuzi wa fukwe hizo wametakiwa kuacha mara moja. Ikumbukwe kulinda afya ya viumbe hai wa bahari na mifumo ya ikolojia, kudumisha sekta ya utalii na uchumi wa…

Read More

Mgogoro wa Iran, Israel wamkwamisha Wazir Jr Iraq

MSHAMBULIAJI wa Al Mina’a, Wazir Jr Shentembo amesema mgogoro kati ya Iran na Israel umesitisha safari za ndege kwa timu kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Wazir Jr ambaye aliwahi kukipiga Yanga msimu wa 2020/21, alijiunga na timu hiyo iliyopo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi yenye timu 20, kwa mkataba wa miezi sita mwanzoni…

Read More

Lwasa mguu ndani, nje Kagera

NYOTA wa Kagera Sugar, Peter Lwasa mapema tu ana ofa mezani zinazomfanya kutokuwa na uhakika wa kuendelea kuitumikia timu hiyo kwa msimu ujao itakaposhiriki Ligi ya Championship. Lwasa raia wa Uganda, anaongoza kwa mabao katika kikosi cha Kagera Sugar na amefunga manane msimu huu kwenye Ligi Kuu Bara, huku timu hiyo ikiwa imeshuka daraja na…

Read More

Gavi Atua Mapumzikoni Hifadhi ya Serengeti

…..,………,. Nyota wa Barcelona na timu ya Taifa ya Hispania, Pablo Gavi amefuata nyayo za baadhi ya mastaa wa soka wa nchi yake kwa kuja mapumzikoni Tanzania. Kiungo huyo yupo katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti sambamba na mpenzi wake, Ana Pelayo. Gavi ametua Tanzania ikiwa ni siku chache baada ya nyota wengine watatu wa…

Read More