JKT Tanzania yafuata kiungo Fountain Gate
UONGOZI wa JKT Tanzania upo kwenye mazungumzo na kiungo wa Fountain Gate, Daniel Joram kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao. JKT Tanzania tayari imejihakikishia nafasi ya kucheza Ligi Kuu Bara msimu ujao baada ya kukusanya pointi 35 ikiwa nafasi ya sita kwenye msimamo baada ya kucheza michezo 29, imeshinda minane, sare 11 na…