HABARI NJEMA NA SULUHISHO KWA WAFANYABIASHA WA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KWA NJIA YA NDEGE
KIKAO CHA WAFANYABIASHARA WA USAFIRISHAJI WA MIZIGO MAALUM NA WAMILIKI WA MAKAMPUNI Je, wewe ni mfanyabiashara au mmiliki wa kampuni unayetuma mizigo kati ya Falme za Kiarabu (Dubai) na Tanzania? Je, umekuwa ukihangaika kupata njia bora, ya uhakika, na nafuu ya kutuma mizigo yako kutoka Dubai kwenda Tanzania? Je, umekuwa ukipitia changamoto za Mizigo yako…