Tume ya kujenga amani ya UN ‘inahitajika zaidi kuliko hapo awali’ huku kukiwa na migogoro inayoongezeka – maswala ya ulimwengu

Walishiriki uzoefu wao katika hafla wiki hii katika makao makuu ya UN kuashiria miaka 20 ya Tume ya Kuijenga Amani (PBC). Baraza la Ushauri la Serikali za Serikali linaunga mkono nchi zinazoibuka kutoka kwa migogoro katika maeneo kama utawala, haki, maridhiano, ujenzi wa taasisi na maendeleo endelevu. Maumivu na ahadi “Hadithi ya Liberia ni moja…

Read More

MCL, Serikali kujadili uongozi, miundombinu

Dar es Salaam. Hivi unajua kila Dola moja ya Marekani (Sh2,573.67) inayowekezwa kwenye ujenzi wa miundombinu, hasa madaraja, huchochea uwekezaji binafsi wa kati ya Dola nne hadi tano (Sh10,294.66 hadi Sh12,868.33)? Kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) ya mwaka 2021, uwekezaji katika ujenzi wa miundombinu hasa ya madaraja, unachochea uwekezaji binafsi…

Read More

ACT Wazalendo: Kuanzishwa tozo mwendelezo kuwaumiza wananchi

Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimesema mapendekezo ya Serikali kuanzisha tozo mpya kutadumaza fursa za kiuchumi na kupunguza uwezo wa wananchi kujikimu, badala ya kutoa unafuu kwa walioko katika mazingira magumu. Sambamba na hilo, chama hicho kimetoa wito kwamba pendekezo la bajeti iliyotengwa na Serikali kwa ajili ya kugharimia uchaguzi, isitumiwe kwa namna…

Read More

KATAMBI ASISITIZA UELEDI KWA MADEREVA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana na Ajira Patrobas Katambi akizungumza katika kongamano la Kitaifa la madereva wa malori na mabasi na masafa marefu na kati ambalo limefanyika Leo Tar 21/6/2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaam  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi,…

Read More

Samia aonya ramli chonganishi kuelekea Uchaguzi Mkuu

Mwanza/Dar. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa kimila, hususani waganga wa kienyeji kujiepusha na ramli chonganishi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 ili zisilete uvunjivu wa amani. Akizungumza kwenye tamasha la utamaduni la Bulabo lililofanyika Bujora, wilayani Magu, mkoani Mwanza leo Jumamosi Juni 21, 2025 amesema kipindi hiki waganga hao watatembelewa na watu mbalimbali…

Read More

Wasichana jamii ya wafugaji wapelekwa Veta

Babati. Wasichana kutoka jamii za wafugaji katika mikoa mitatu ya Manyara, Singida na Dodoma wamepatiwa fursa ya kujifunza ujuzi wa fani mbalimbali kupitia Chuo cha Ufundi Stadi (Veta), kwa lengo la kuwawezesha kujikwamua kiuchumi na kuboresha maisha yao. Wasichana hao kutoka jamii za kifugaji watapata fursa ya kupata ujuzi na utaalamu kupitia Chuo cha Veta…

Read More

Kikwete: Uchaguzi 2025 ni fursa kuonyesha demokrasia

Dar es Salaam. Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema hila, ulaghai na ujanja visitumike katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025. Amesema uchaguzi huo wa kuwapata Rais, wabunge na madiwani ni fursa kwa Tanzania kuionyesha dunia kwamba ina uwezo wa kuendesha mambo yake kidemokrasia. Kikwete amebainisha hayo leo Jumamosi Juni 20, 2025 kwenye kongamano la mawakili wa…

Read More