Tanzania mwenyeji mkutano wa mabaraza ya vyombo vya habari Afrika
Dar es Salaam. Wakati jitihada mbalimbali za kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari nchini zikiendelea kufanyika, Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa mabaraza ya habari Afrika. Jitihada hizo zimeifanya Tanzania sasa kushika nafasi ya 97 katika nchi zinazozingatia uhuru wa vyombo vya habari ikiwa imepanda kutoka nafasi ya 142 mwaka 2023 kwa mujibu…