
Kauli ya Trump yatikisa miradi 10 Geita, mingine yasitisha huduma
Geita. Zaidi ya miradi 10 ya afya na maendeleo iliyokuwa ikitekelezwa na mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani Geita, imeathiriwa ikiwa ni pamoja na kusimamishwa kwa huduma muhimu ya programu ya PERFAR ya kinga dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU). Hii ni baada ya kusitishwa kwa ufadhili kutoka kwa wafadhili wa kimataifa. Akisoma taarifa ya mwaka…