Makocha 29 wapigwa msasa Arusha
Makocha 29 wamemaliza kozi ya awali ya ukocha wa soka maarufu kama Fifa Grassroots Football Coaching Course kwa ajili ya kufundisha vijana na watoto. Mafunzo hayo yamefanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Royal eneo la Sinoni Unga Ltd na Uwanja wa Sheikh Amri Abeid yakiandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na…