Je! Kwa nini Mayosu juu ya kuongezeka? Wanawake wa UN wanasikika kengele juu ya misogyny mkondoni – maswala ya ulimwengu

Na zaidi ya watu bilioni 5.5 wameunganishwa mkondoni – karibu wote wanafanya kazi kwenye media za kijamii – majukwaa ya dijiti yamekuwa msingi wa jinsi watu wanavyoingiliana, Wanawake wa UN mambo muhimu. Walakini, pia wanapewa silaha ya kueneza ujinga na chuki. Mara tu ikiwa imefungwa kwa vikao vya mtandao wa Fringe, hali ya uso sasa…

Read More

Sekta nne zaguswa wabunge wakihitimisha mjadala wa bajeti

Dodoma. Wabunge wamehitimisha mjadala kuhusu Mpango wa Taifa wa Maendeleo na mapendekezo ya bajeti ya Serikali kwa mwaka 2025/26, wakiibua hoja katika sekta nne, ambazo Serikali inatakiwa kuzipatia majawabu. Watunga sheria hao wametoa hoja wakigusa sekta nne za uchumi, afya, elimu na kilimo, ikiwamo ya kutaka nyumba za tembe na nyasi zifutwe vijijini. Wabunge wamesema…

Read More

NAIBU WAZIRI UTUMISHI ATEMBELEA BANDA LA NCC,AIPONGEZA KWA MCHANGO KUKUZA SEKTA YA UJENZI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Deus Sangu ametembelea banda la Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) na kuelezwa masuala mbalimbali yanayohusu Baraza hilo. Sangu ameelezwa majukumu yanayotekelezwa na NCC, huduma zinazotolewa na Baraza hilo, pamoja na mafanikio yanayoendelea kupatikana kwa kutolewa huduma hizo, ambapo alipongeza…

Read More

Saliboko amekubali unyonge KMC | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa KMC, Daruweshi Saliboko amesema japo hakuwa na msimu mzuri kiushindani haujapita kapa badala yake amepata mafunzo yatakayomsaidia ujao kufanya vizuri katika kuweka rekodi za heshima. Saliboko aliyewahi kung’ara msimu wa 2019/20 akifunga mabao 12 akiwa na Lipuli ya mjini Iringa, alisema kitendo cha msimu huu kupitia changamoto ya majeraha kilimfunza kujua namna ya…

Read More

Ouma hesabu kali taji la Shirikisho

LICHA ya kuwa na mechi ya kufungia msimu inayopigwa kesho dhidi ya Tanzania Prisons, benchi la ufundi la Singida Black Stars limesema litawekeza nguvu na akili katika pambano la fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya watetezi, Yanga ili kufunga msimu kwa heshima. Mechi hiyo ya fainali inatarajiwa kupigwa Jumapili ya Juni 29 kwenye…

Read More

Yacouba aamua kukimbilia FIFA | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga anayekipiga kwa sasa Tabora United, Yacouba Songne amesema amepeleka malalamiko Fifa, baada ya kutolipwa mshahara wa miezi minne na kutomaliziwa ada ya usajili. Yacouba ambaye alisaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Tabora msimu huu, alipata majeraha katikati ya msimu jambo lililomfanya kukosa mechi nyingi. Akizungumza na Mwanaspoti, nyota huyo alisema…

Read More

Sillah achekelea mabao 11 Bara

NDOTO ya mshambuliaji wa Azam FC, Gibril Sillah kumaliza msimu akifunga mabao yasiyopungua 10 imetimia, na akasema ni kitu ambacho kimemuongezea thamani kwenye wasifu kucheza soka Tanzania. Nyota huyo raia wa Gambia anayeitumikia Azam kwa msimu wa pili, mapema alinukuliwa na Mwanaspoti kwamba anatamani kufunga mabao 10 ili kuvuka rekodi ya msimu uliopita aliomaliza na…

Read More

Ahoua, Mpanzu wapewa kazi maalum Simba

KIKOSI cha Simba kinaendelea na maandalizi ya mwisho ya kuvaana na Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu ya kutimiza raundi ya 30, kisha kujipanga kwa pambano la Dabi ya Kariakoo, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids akiwageukia nyota wa kikosi hicho na kuwapa kazi maalumu. Fadlu anayetua Msimbazi msimu huu akitokea Raja…

Read More