Serukamba akomalia urejeshwaji wa Sh900 milioni za mikopo Mafinga
Mufindi. MKuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba ameagiza halmshauri ya Mji Mafinga kuhakikisha Sh927.2 milioni zilizotolewa kama mikopo kwa vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu, zinarejeshwa ili vikundi vingine vinufaike na fedha hizo. Serukamba ametoa kauli hiyo leo Juni 20, 2025 katika mkutano maalumu wa baraza la madiwani la halmashauri ya mji…