Waziri Mkuu awapa maagizo maofisa mikopo vyuoni
Morogoro. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza maofisa wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu waliopo katika vyuo mbalimbali nchini kutoa elimu ya pamoja kwa wanafunzi kuhusu ujazaji sahihi wa fomu za mikopo kwa njia ya mtandao, badala ya kutoa maelezo kwa mtu mmoja mmoja. Amesisitiza kuwa njia hiyo itaongeza ufanisi, kuokoa muda na kuwasaidia…