TUMUUNGE MKONO RAIS SAMIA KWA MAENDELEO-MTETEZI WA MAMA
:::: TAASISI ya Mtetezi wa Mama imesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi mwenye dhamira ya kweli ya kuiletea maendeleo Tanzania huku ikiwataka wananchi kuhakikisha inampigia kura za kishindo katika uchaguzi Mkuu ujao Akizungumza mara baada ya Rais Samia kuzindua Daraja la ‘J.P Magufuli ‘ (Kigongo-Busisi) Mkurugenzi wa Taasisi ya Mtetezi wa Mama Neema Karume…