Kilimanjaro yafunguka sababu kumdhamini Karia TFF

WAKATI harakati za uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zikipama moto, Chama cha Soka Mkoa wa Kilimanjaro (KRFA), kimempa baraka mgombea urais Wallace Karia kuendelea na kipindi kingine cha uongozi. Akizungumza leo, Juni 20,2025 mjini Moshi, Mwenyekiti wa KRFA, Isaac Munis maarufu kwa jina la ‘Gaga’ amesema wamemdhamini Karia kwa kuzingatia kazi  aliyoifanya…

Read More

Aliyemuua mkewe bila kukusudia aachiwa huru

Arusha. Mahakama ya Rufaa imemuachia huru Stephen Mduma, aliyekuwa amekuhukumiwa kifungo cha miaka saba jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa mke wake, Jackline Mwanjombe. Hukumu iliyomuachia huru Stephen imetolewa Juni 17, 2025 na jopo la majaji watatu wa mahakama hiyo walioketi Dar es Salaam ambao ni Barke Sehel, Khamis Ramadhan…

Read More

Vikundi 467 havijaresha mikopo ya asilimia 10 Dodoma

Dodoma. Vikundi 467 vilivyopewa mikopo ya asilimia 10 ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu havijaresha Sh1.2 bilioni walizopewa na Halmashauri ya jiji la Dodoma. Wakati vikundi hivyo vikiwa havijarejesha mikopo hiyo, wanufaika wa mikopo hiyo wamesema kinachochangia kusuasua kwa urejeshaji ni waombaji kupewa fedha ndogo kuliko kiwango walichoomba. Mikopo ambayo haijarejeshwa ni ya asilimia…

Read More

Benki ya CRDB yatoa zawadi kwa watoto Muhimbili, yamuaga Profesa Janabi

   Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Profesa Mohammed Janabi kumtakia utumishi mwema wa majukumu anayoenda kuyaanza hivi punde. Hafla hiyo fupi ilifanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili sambamba na kuwafungulia Akaunti ya Junior Jumbo Watoto 76 waliozaliwa hospitalini…

Read More

Rais Samia aonya utunzaji wa amani, azindua mradi wa maji

Mwanza. Serikali imewataka Watanzania kudumisha amani na utulivu, kwa ajili ya maendeleo na sifa nzuri ya Tanzania. Rais Samia Suluhu Hassan amebainisha hayo leo Juni 20, 2025 jijini Mwanza wakati akizungumza na wananchi wa Butimba, akiwaeleza kwamba Tanzania ina amani na utulivu na utashi wa kisiasa katika kutekeleza miradi ya maendeleo. Amewataka kutulia na kufanya…

Read More

Uchaguzi TFF: Msigwa kilio kilekile

Mgombea nafasi ya ujumbe Kanda ya Tatu akiwakilisha Njombe, Iringa, Mbeya na Songwe, Ally Msigwa amerudisha fomu huku akilia kama wagombea wengine wa nafasi mbalimbali kuwa amekosa udhamini. Msingwa ambaye ni mchezaji wa zamani wa Yanga, amesema licha ya kuanza kwa wakati kutafuta uidhinishwaji kwa wajumbe wa mkutano mkuu, lakini amekosa. Mgombea huyo amesema ameamua…

Read More

UN inaonya juu ya kuongezeka kwa ushuru wa kibinadamu wakati uhasama wa Israeli na Irani unaendelea-maswala ya ulimwengu

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN Volker Türk Alhamisi alitaka “kizuizi cha juu” na alisisitiza kwamba Israeli na Irani zimefungwa na sheria za kimataifa za kibinadamu. “Kuendelea, mashambulio yanayoendelea ya Israeli kote Iran, na kombora na mgomo wa drone uliozinduliwa kwa kujibu na Iran, zinasababisha haki kubwa za binadamu na athari za kibinadamu…

Read More

MSD yataja hatua za mageuzi katika uzalishaji wa ndani

Arusha. Bohari ya Dawa (MSD) imesema uwekezaji katika uzalishaji wa bidhaa za afya ndani ya nchi unahitaji kuimarishwa ili viwanda vizalishe zaidi kukidhi mahitaji ya nchi na kuliingizia Taifa fedha za kigeni. Imesema utegemezi wa uagizaji wa bidhaa za afya, unatokana na uwezo hafifu wa viwanda vya ndani, uwekezaji katika sekta ya viwanda vya uzalishaji…

Read More

Shija arudisha fomu, alia ‘endorsement’

Mgombea urais kwenye uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Shija Richard amesema licha ya kurudisha fomu, lakini kinachomliza ni changamoto ya kukosa uidhinishwaji (endorsement). Shija ambaye ni mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), amesema katika mchakato wa kuchukua na kurudisha fomu, amekumbana na changamoto ya kukosa uidhinishwaji kutoka kwa wajumbe wa mkutano mkuu….

Read More