Mbadala wa madiwani hawa hapa mabaraza yakivunjwa
Dar es Salaam. Wakati mabaraza ya madiwani kote nchini yakivunjwa rasmi leo Juni 20, 2025, majukumu yao sasa yatatekelezwa na wakurugenzi wa halmashauri pamoja na wakuu wa idara katika halmashauri hadi pale watakapopatikana madiwani wengine. Hata hivyo, watendaji hao hawataruhusiwa kuanzisha miradi mipya ya maendeleo, bali wataendelea kusimamia utekelezaji wa miradi iliyoachwa na madiwani katika…