Mayay arudisha fomu urais TFF, afunguka
Mgombea mwingine wa nafasi ya urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ally Mayay amerudisha fomu ya kugombea. Mayay amerudisha fomu hiyo mchana huu katika ofisi za makao makuu ya TFF akiambatana na rafiki yake, Dominic Salamba. Baada ya kurudisha, Mayay amesema amekamilisha hatua ya awali ya mchakato huo kwa kuchukua na kurudisha fomu. …