
Nyomi la mashabiki lawapokea mastaa Yanga
Baada ya mastaa wa Yanga kutoka katika Uwanja wa Ndege, wamepokelewa na nyomi la mashabiki ambao wamejaa barabarani wakiisindikiza timu yao. Bila kujali jua kali mashabiki wa Yanga wameonyesha hawana shoo ndogo baada ya kujitokeza kuwapokea mastaa wao waliokuwa wametoka kwenye mechi ya fainali ya Kombe la CRDB. Kikosi hicho ambacho kitazunguka maeneo makuu manne…