SHILINGI BILIONI 1.7 ZIMETOLEWA KUSAIDIA MATIBABU YA UGONJWA WA SELI MUNDU
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Bilioni 1.7 zimetolewa kwa ajili ya kusaidia matibabu ya ugonjwa wa seli mundu kwa wagonjwa wanaojitokeza kupata matibabu mbalimbali katika hospitali ya Rufani ya Kanda ya Benjamini Mkapa (BMH). Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufani ya Kansa ya Benjamini Mkapa (BMH),Profesa Abel Makubi ameyaeleza hayo wakati wa maadhimisho ya siku ya…