WAENDELEZAJI MIRADI YA NISHATI JADIDIFU WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEZESHWAJI KUTOKA REA

-Ni kwa miradi inayozalisha chini ya Megawati 10 Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu ametoa wito kwa waendelezaji wa miradi ya nishati jadidifu kote nchini kuchangamkia fursa za uwezeshwaji zinazotolewa na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ili kuwa na miradi yenye tija kwa Taifa. Ametoa…

Read More

Mafanikio, changamoto mabaraza ya madiwani yakivunjwa

Dar es Salaam. Wakati mabaraza ya madiwani katika halmashauri zote nchini yakitarajiwa kuvunjwa kesho Juni 20, 2025, wananchi na madiwani wametathmini miaka mitano ya mabaraza hayo kwenye maeneo yao, huku wakibainisha mafanikio na changamoto zilizobaka. Mabaraza hayo yalianza kazi baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 wa Rais, wabunge na madiwani na jukumu la mabaraza ya…

Read More

Mchakato kuwarudisha Watanzania waliopo Israel, Iran waanza

Dar es Salaam. Serikali imeanza kuchukua hatua za haraka na za kiutendaji ili kuhakikisha Watanzania waliopo nchini Iran na Israel wanarejeshwa salama nchini. Uamuzi huo umetokana na mgogoro unaoendelea kushamiri kati ya mataifa hayo mawili, hali ambayo imesababisha baadhi ya nchi kuanza kuchukua hatua za dharura za kuwarejesha raia wao waliopo katika maeneo hayo. Mashambulizi…

Read More

Mapendekezo ya wataalamu kuokoa afya ya jamii

Dar es Salaam. Kutokana na milipuko ya magonjwa na majanga yanayoathiri sekta ya afya kuendelea kujitokeza maeneo mbalimbali duniani, wataalamu katika sekta hiyo wamekuja na mapendekezo yatakayoonesha njia za kukabiliana na athari hizo. Ni baada ya wataalamu hao kujifungia siku mbili katika Kongamano la 13 la Sayansi lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi…

Read More

TANZANIA YAPOKEA VIFAA VYA MAABARA VYENYE THAMANI YA EURO MILIONI 1.77 KUPITIA MRADI WA QUALITAN WENYE THAMANI YA EURO MILIONI 7

 Umoja wa Ulaya (EU) umekabidhi rasmi vifaa vya kisasa vya maabara kwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) katika hafla iliyofanyika katika Makao Makuu ya TBS, Dar es Salaam.  Hafla hii ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa QUALITAN unaogharimu jumla ya EUR milioni 7, ikiwa ni sehemu ya mradi mpana wa “BEGIN” wenye thamani ya…

Read More

NAIBU WAZIRI KIHENZILE AIPONGEZA TASAC KWA USIMAMIZI BORA WA SEKTA YA MAJINI

NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, amepongeza Shirika la Mawakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa namna linavyotekeleza kwa ufanisi majukumu yake katika kusimamia sekta ya usafiri wa majini nchini. Mhe. Kihenzile alitoa pongezi hizo alipotembelea banda la TASAC katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2025 yanayoendelea katika viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma….

Read More