Meridianbet yaja na 3 Oaks Gaming

  MERIDIANBET inakutambulisha kwa 3 Oaks Gaming, mtoa huduma mpya kabisa aliyejiunga na familia ya kasino mtandaoni ya Meridianbet. 3 Oaks Gaming anajulikana kwa ubunifu, burudani ya hali ya juu, na michezo yenye nafasi nzuri ya ushindi. 3 Oaks Gaming inaleta uzoefu wa kipekee wa michezo ya sloti, uliojaa msisimko, utofauti, na zawadi kubwa kwa…

Read More

TANESCO YAWEKA KAMPENI YA WATEJA WAKE KULIPA MADENI

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa TaNESCO ,Irene Gowelle  akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana Kampeni ya Tanesco  ,jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi Wetu, SHIRIKA la Umeme Tanzania(TANESCO) limesema kuwa watu wenye madeni walipe madeni yao ili Shirika liendelee kujiendesha. Katika kuwataka wenye madeni kulipa Shirika limeweka kampeni maalum kwenye maeneo…

Read More

Wakati vifaa vya mwisho vya mafuta vinamalizika, timu za misaada zinaonya juu ya janga – maswala ya ulimwengu

Akiongea kutoka Jiji la Gaza kaskazini mwa eneo lililochukuliwa, Olga Cherevko kutoka Ofisi ya Uratibu wa UN, Ochaalisema kuwa pampu za maji zilikuwa zimesimama kwenye tovuti moja kwa watu waliohamishwa huko Jumatano “Kwa sababu hakuna mafuta”. “Sisi ni kweli – isipokuwa hali itabadilika – masaa mbali na kupungua kwa janga na kuzima kwa vifaa zaidi…

Read More

RAIS SAMIA AFUNGUA RASMI DARAJA LA J.P. MAGUFULI

::::::: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelifungua rasmi Daraja la J.P. Magufuli lenye urefu wa kilomita 3 na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita 1.66 linalounganisha Wilaya za Misungwi na Sengerema Mkoani mwanza. Amesema kukamilika kwa Daraja hilo ni utekelezaji wa ndoto ya Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli. “Miongoni…

Read More

Vituo 50 vya ubunifu kujengewa uwezo

Dar es Salaam. Vituo 50 vilivyo chini ya Mtandao wa Vituo vya Ubunifu Tanzania (THN) vinatarajiwa kujengewa uwezo ili viweze kuleta tija kwa wabunifu kote nchini na kuinua uchumi. Hiyo ni baada ya Tume ya Tehama kusaini makubaliano na THN ili kuimarisha utendaji wa vituo hivyo vinavyopatikana katika mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara na visiwani,…

Read More

Wakazi wa Manispaa ya Morogoro walia ubovu wa barabara

Morogoro. Wananchi wa Manispaa ya Morogoro wakiwemo madereva wa daladala na vyombo vingine vya moto wamelalamikia ubovu wa baadhi ya barabara katika manispaa hiyo unaosababisha uharibifu wa vipuri vya magari zikiwemo springi, sampo na kuchanika kwa magurudumu. Akizungumza na Mwananchi leo Juni 19, 2025, mmoja wa madereva wa daladala zinazofanya safari zake Kihonda – Manyuki…

Read More

Wabunge wataka tozo za miamala zipunguzwe

Dodoma. Baadhi ya wabunge wamesema tozo kubwa zinazotozwa kwenye miamala ya kielektroniki kupitia benki na simu zimekuwa kikwazo kwa wananchi, hali inayochangia watu wengi kuepuka kutumia huduma hizo za kifedha. Wabunge wamesema hayo leo, Juni 19, 2025, wakati wakichangia kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2025/26, hali ya uchumi wa taifa kwa mwaka 2024, na…

Read More