Rais Samia azindua daraja la JPM, Tanzania ikiandika historia
Mwanza. Historia imeandikwa! Hiyo ndio kauli inayoweza kutumika kujumuisha yote kuanzia wazo la mradi, utekelezaji, kukamilika hadi kuzinduliwa kwa daraja la JPM, maarufu kama Kigongo-Busisi. Daraja hilo limezinduliwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kukamilika kwa gharama ya zaidi ya Sh700 bilioni. …