Kocha Tabora United akubali yaishe

KOCHA Mkuu wa Tabora United, Mzambia Simonda Kaunda amesema msimu huu kwao umeisha na hawana cha kupoteza tena, baada ya kikosi hicho juzi kukumbana na kichapo cha fedheha cha mabao 5-0, dhidi ya matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC. Kichapo hicho kimeifanya timu hiyo kufikisha mechi saba mfululizo za Ligi Kuu Bara…

Read More

29 wa kigeni wakoleza utamu BDL

USHINDANI na uwepo wa nyota wa kigeni katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), umeifanya izidi kuimarika na kuwa moja ya zinazoongoza kwa ubora Ukanda wa Afrika Mashariki. Idadi ya nyota hao imekuwa ikiongezeka na wamesajiliwa katika timu mbalimbali zinazoshiriki ligi hiyo na waliopo hadi sasa ni 29. Wachezaji hao wanatoka katika…

Read More

Simba wacheze tu Kariakoo Dabi

HAPA kijiweni tuna imani Simba itacheza mechi yake ya marudiano ya Ligi Kuu Bara msimu huu dhidi ya mtani wake, Yanga ambayo imezoeleka kwa jina la Kariakoo Dabi. Nimeona kundi fulani la mashabiki wanaojulikana ni wa Simba wanasema hawako tayari kucheza mechi hiyo ambayo imepangwa kuchezwa Juni 25 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Nadhani wanatania…

Read More

Mkali wa Black Panther kuja kufundisha kuogelea

KOCHA maarufu wa mchezo wa kuogelea duniani, Atiba Hasim-Nii Wade kutoka Marekani anatarajiwa kutua nchini ili kuendesha mafunzo ya mchezo huo kuanzia Juni 27 hadi Julai Mosi. Wade ambaye pia mwigizaji wa filamu za Hollywood ikiwamo ya Black Panther-Wakanda Forever iliyotoka mwaka 2022 ataendesha mafunzo hayo ya kuogelea nchini akishirikiana na Champion Rise Sports Promoter….

Read More

Wagombea waanza kulia uchaguzi TFF

SAA 24 kabla ya kufungwa kwa zoezi la kuchukua na kurudia fomu za Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baadhi ya wagombea waliojitosa katika kinyang’anyiro hicho wameanza kulia kwa kutoridhishwa taratibu zilizowekwa za uidhinishaji kupitia wajumbe ili kuruhusu urudishaji fomu. Kilio hicho kimetolewa na mgombea wa urais, Injinia Mustapha Himba akisema mara baada…

Read More

Wasira arusha jiwe gizani wanaosema wanamdai Rais Samia

Geita. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema si sahihi kumtarajia Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza matatizo yote ya wananchi, akisisitiza kuwa anayefikiri hivyo anajidanganya. Akizungumza leo Alhamisi Juni 19, 2025 kwenye mkutano wa ndani na wanachama wa CCM mjini Geita, uliolenga kukiimarisha chama, Wasira amesema kauli ya kumwambia Rais ‘tunakudai’…

Read More