Miloud ashindwa kujizuia kwa Pacome
YANGA imefanya mauaji jijini Mbeya ilipoivuruga Tanzania Prisons kwa mabao 5-0, kisha fasta ikageuka na kurejea Dar es Salaam usiku wa jana ili kujiandaa na safari ya kwenda Zanzibar kuvaana na Dodoma Jiji, Jumapili, lakini kuna kitu kimetamkwa na kocha wa timu hiyo, Miloud Hamdi ambacho ni kama salamu za mapema kwa wapinzani wanaotarajiwa kukutana…