Beki wa Simba awindwa Mashujaa

UONGOZI wa maafande wa Mashujaa uko katika harakati za kukisuka kikosi kwa ajili ya msimu ujao, ambapo tayari mabosi wa timu hiyo wameanza harakati za kumuwinda beki wa kati wa Simba, Hussein Kazi anayemaliza mkataba wake. Kazi aliyejiunga na timu hiyo Julai 20, 2023 akitokea Geita Gold, ameshindwa kupenya katika kikosi cha kwanza mbele ya…

Read More

Mzize ana akili ya kizungu kimtindo

WACHEZAJI wa kizungu huwa wanazipa heshima na kuzithamini sana timu ambazo zimewapa fursa ya kujitangaza na kuingia katika daraja la juu kiushindani. Sisemi kama ni wote ila wengi wao wanaziona timu ambazo zimewapa fursa tangu wakiwa vijana wadogo kama sehemu ya maisha yao hivyo hujitahidi kuishi nazo vizuri ili wasiondoke au kumaliza maisha ya soka…

Read More

Mashambulizi ya Israel yaua raia 72 Gaza

Mashambulizi yaliyofanywa na Jeshi la Israel (IDF) yamesababisha vifo vya raia 72 eneo la Gaza, wakiwemo 29 waliokuwa wakisubiria magari yenye misaada ya kibinadamu. Wizara ya Afya eneo la Gaza imethibitisha kuuawa kwa Wapalestina hao katika mashambulizi ya Israel yaliyofanyika alfajiri ya leo Alhamisi Juni 19, 2025. Kwa mujibu wa Reuters, mauaji ya raia hao…

Read More

‘Vibe’ la vijana uzinduzi Daraja la JP Magufuli ukisubiriwa

Shamrashamra zimeendelea kushuhudiwa katika eneo la Kigongo-Busisi lilipo Daraja la JP Magufuli, linalotarajiwa kuzinduliwa leo, Alhamisi Juni 19, 2025. Vijana waliovalia sare za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wengine wakiwa na fulana zenye maneno yanayoeleza utendaji wa Rais Samia Suluhu Hassan, wamefurika maeneo hayo ikiwa ni shamrashamra kuelekea uzinduzi huo.Nderemo na vifijo hivyo, vinafanyika wakimsubiri…

Read More

Benki ya NBC, Jubilee Allianz Waungana Kuwajengea Uwezo Wakandarasi Zanzibar, Serikali Yapongeza.

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Jubilee Allianz Tanzania, wameendesha semina maalum kwa wakandarasi wa Zanzibar wakilenga kuwajengea uwezo zaidi wakandarasi hao ili waweze kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo visiwani humo kwa ufanisi zaidi kupitia huduma bora za kifedha na bima zilizobuniwa mahususi kwa ajili yao. Warsha hiyo…

Read More

Sabasaba mpya ya saa 24 kujengwa kwa ubia

Katika harakati za kuimarisha mazingira ya biashara na kuvutia uwekezaji wa kisasa, Serikali ya Tanzania inatarajia kutumia zaidi ya Sh948.5 bilioni kubadilisha sura ya Uwanja wa Maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere maarufu kama Sabasaba. Uwanja huu ambao kwa miongo kadhaa umehifadhi historia ya maonyesho ya biashara ya kimataifa, sasa unatazamwa kwa jicho jipya jicho la mageuzi, maendeleo…

Read More

Iran yashambulia hospitali Israel, yenyewe yalipua mtambo wa nyuklia

Tel Aviv. Kombora lililorushwa kutoka Iran limelenga jengo la hospitali kuu iliyopo kusini mwa Israel na kusababisha majeruhi kadhaa, huku yenyewe ikijibu kwa kushambulia mtambo wa urutubishaji nyuklia. Mamlaka nchini humo zimethibitisha kuwa Iran imefanya shambulio hilo asubuhi ya leo Alhamisi Juni 19, 2025, huku taarifa zikisema bado tathmini ya madhara zaidi yaliyosababishwa na kombora…

Read More

DR. POSSI DISMISSES ALLEGATIONS RISED BY REPRESENTATIVE OF EAST AND HORN OF AFRICA HUMAN RIGHTS DEFENDERS NETWORK

 :::::::: On 18 June 2025, during the 5th meeting of the 59th session of the Human Rights Council, Dr. Abdallah S. Possi, the Ambassador and Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations Offices and Other International Organizations in Geneva, addressed the Council.  He dismissed the allegations raised by the representative…

Read More