Mkuu wa Msaada wa UN anahitaji mshikamano, na watu wa kibinadamu ‘chini ya shambulio’ – maswala ya ulimwengu

Tom Fletcher alikuwa akizungumza kwenye duka la hisa la kila mwaka la sekta yake inayojulikana kama Sehemu ya mambo ya kibinadamu ya Ecosocambayo huleta pamoja nchi wanachama wa UN na mashirika, washirika wa kibinadamu na maendeleo, na pia sekta binafsi na jamii zilizoathiriwa. Alisema mada ya mwaka huu – upya mshikamano wa ulimwengu kwa ubinadamu…

Read More

BFPL Yapanua Kiwanda, Yaimarisha Uzalishaji wa Vinywaji

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KAMPUNI ya Bakhresa Food Products Ltd (BFPL) katika kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, imefanya upanuzi wa kiwanda chake cha vinywaji baridi kwa kufunga mitambo mipya ya kisasa ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya wateja wake. Akizungumza na waandishi wa habari Juni 19, 2025, katika kiwanda hicho kilichopo Mwandege, mkoani Pwani,…

Read More

Babu wa miaka 70 atupwa jela maisha kisa bangi

Morogoro. Ama kweli sheria ni msumeno hukata mbele na nyuma, ndio maneno unaweza kuyatumia kuelezea namna mzee wa miaka 70, Victory Rudongo, alivyojikuta akifungwa kifungo cha maisha jela bila kujali umri mkubwa alionao. Kwa hukumu hii na kama atatumia haki yake kukata rufaa na akagonga mwamba na mahakama ya rufani ikabariki adhabu hii, maana yake…

Read More

Mgogoro wa Israel, Iran utakavyoiathiri Tanzania kiuchumi

Wakati hali ya sintofahamu ikitanda Mashariki ya Kati kufuatia mashambulizi kati ya Israel na Iran, dunia inashuhudia mtikisiko wa kiuchumi unaogusa karibu kila kona ya masoko ya fedha, bidhaa, usafiri wa anga, na hata mifumo ya uzalishaji wa bidhaa. Tanzania nayo haijabaki salama, hasa ikizingatiwa utegemezi wake mkubwa katika bidhaa zinazotoka eneo hilo, lakini uzoefu…

Read More

Kaizer yaingilia dili la Tau Yanga

MAMBO yanaendelea kuwa mambo katika viunga vya Jangwani wakati huu ambapo Yanga imeshaanza kufanya biashara ikifanikiwa kumuuza aliyekuwa kiungo wake, Stepahie Aziz KI kwenda Wydad Casablanca ya Morocco ambako chama lake jipya linashiriki pia fainali za Kombe la Dunia la Klabu. Yanga ilifanya biashara na Wydad hivi karibuni, lakini ikiwa haijapoa kwani inadaiwa kwamba iko…

Read More

Aziz KI achekelea dabi, ataja bingwa Bara

MWAMBA wa Burkina Faso, Stephanie Aziz KI tayari ameshaanza kukipiga katika chama lake jipya la Wydad Casablanca alikotua hivi karibuni akitokea Yanga, lakini huku nyuma kaacha kumbukumbu kibao Jangwani anazotembea nazo. Nyota huyo aliyekuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita alipotupia mabao 21, ameondoka nchini akiwa na kumbukumbu nzito kwa mashabiki wa timu…

Read More