TADB, TWCC KUINUA WANAWAKE NA VIJANA KATIKA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI
BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeingia makubaliano na Chama cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania (TWCC) kwa lengo la kuwawezesha wanawake na vijana wajasiriamali wanaoshiriki katika minyororo ya thamani ya kilimo, mifugo na uvuvi nchini. Makubaliano haya ya miaka miwili yamesainiwa tarehe 17 Juni 2025 katika makao makuu ya TADB, yakihusisha viongozi waandamizi kutoka taasisi…