NSSF yawatega waajiri, yatoa siku 14 wadaiwa sugu

Babati. Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii (NSSF) Mkoa wa Manyara, unatarajia kuanzisha operesheni maalumu baada ya siku 14 ya ukusanyaji wa madeni kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango ya wafanyakazi wao. Umesema lengo ni kuhakikisha haki za msingi za wanachama zinalindwa. Hayo yamesemwa leo Jumatano, Juni 18, 2025 na Ofisa Matekelezo mkuu wa…

Read More

DMI YASHIRIKI MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

*Yatangaza fursa za Kimataifa kwa Wahitimu Na Mwandishi Wetu CHUO cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kinashiriki kikamilifu katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma kuanzia tarehe 16 hadi 23 Juni 2025, kwa lengo la kutoa elimu kwa umma kuhusu huduma na fursa zinazotolewa na chuo hicho…

Read More

Bhutans ujasiri bet juu ya hali ya hewa, utamaduni na kuridhika – maswala ya ulimwengu

Great Buddha Dordenma, sanamu kubwa ya Shakyamuni Buddha katika milima ya Bhutan. Wakati nchi inasifiwa kama nchi pekee ya kaboni ulimwenguni, iko katika hatari ya mabadiliko ya hali ya hewa. Mikopo: Zofeen Ebrahim/IPS na Zofeen Ebrahim (Thimpu, Bhutan) Jumatano, Juni 18, 2025 Huduma ya waandishi wa habari THIMPU, Bhutan, Jun 18 (IPS)-“Siwezi kupata mahali pengine…

Read More

Msimamo wa Tanzania UN tuhuma za utekaji

Dar es Salaam. Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Geneva, Uswisi, Balozi Abdallah Possi amelihutubia Baraza la Haki za Binadamu, akikanusha taarifa iliyowasilishwa  na wataalamu wa UN kuhusu matukio ya utekaji na watu kutoweka nchini. Amekanusha madai yaliyotolewa na mwakilishi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu wa Afrika…

Read More

Jeshi la Polisi lavunja ukimya matukio ya utekaji, mauaji

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limevunja ukimya kuhusu taarifa za matukio ya utekaji na mauaji likitoa ufafanuzi wa matukio kadhaa yaliyoripotiwa kwa nyakati tofauti huku uchunguzi ukibaini kuwa mengi yakiwa ya kujiteka. Mbali na kujiteka sababu nyingine zilizobainika ni wivu wa mapenzi, imani za kishirikina, kugombea mali, kulipiza kisasi, kwenda nchi nyingine kujifunza misimamo…

Read More

Tanzania yakana tuhuma za utekaji UN

Dar es Salaam. Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Geneva, Uswisi, Balozi Abdallah Possi amelihutubia Baraza la Haki za Binadamu, akikanusha taarifa iliyowasilishwa  na wataalamu wa UN kuhusu matukio ya utekaji na watu kutoweka nchini. Amekanusha madai yaliyotolewa na mwakilishi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu wa Afrika…

Read More