Vita ya ubingwa Bara… Simba, Yanga zakabana koo
MWENDO wa weka niweke ulikuwa katika mechi za raundi ya 29 za Ligi Kuu Bara zilizochezwa Jumatano hii ambapo kulikuwa na vita kubwa ya kujitengenezea mazingira mazuri ya kubeba ubingwa na kuepuka kucheza mechi za mtoano (play offs) ya kutoshuka daraja. Hiyo ni baada ya KenGold na Kagera Sugar kushuka daraja moja kwa moja na…