Mayay, Karia wajitosa Urais TFF

NYOTA wa zamani wa Yanga, Ally Mayay amethibitisha kuingia kwenye mbio za kugombea urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ikiwa ni siku mbili baada ya kuchukua fomu ikielezwa ni mmoja wa wagombea wanne waliojitokeza hadi sasa. Uamuzi wa Mayay unakuja siku moja tangu TFF kutangaza Juni 16 kuanza mchakato wa kuchukua fomu…

Read More

‘Uwinga’ mkombozi tatizo la ajira kwa vijana

Dar es Salaam. Jua linapochomoza katika mitaa ya Kariakoo, kitakachoashiria siku mpya imeanza ni ngurumo ya magari na sauti za wachuuzi wa bidhaa, ambao baadhi hutumia vipaza sauti. Katika mazingira hayo yenye kelele, Juma Seleman (25), huanza harakati za siku za ‘uwinga’ akiingia duka hili na lile kutafuta bidhaa kwa ajili ya wateja anaotafuta mtandaoni….

Read More

Mongella: Hata CCM vichaa hawakosekani

Simiyu. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, John Mongella amesema katika boma la watu wengi na ukubwa wa Kanda ya Ziwa ambayo ni moja ya ngome kubwa za chama hicho, hawakosekani vichaa ambao wanakwenda kinyume na msimamo wa chama. Amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho,…

Read More

Vitendo vya Israeli katika maeneo ya Palestina hufanya uhalifu wa kivita, Baraza la Haki za Binadamu linasikia – maswala ya ulimwengu

“Lengo la serikali ya Israeli ni wazi kabisa: uharibifu wa maisha huko Gaza.” Ndio jinsi Navi Pillay, mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi juu ya eneo lililochukuliwa la Palestinaalifungua taarifa yake kwa kikao cha 59 cha baraza Jumanne. Kuita vita huko Gaza “shambulio la kikatili zaidi, la muda mrefu na lililoenea dhidi ya watu wa Palestina…

Read More

NMB yawaalika wakandarasi kukopa mitaji kwa utekelezaji wa tenda serikalini

Na Pamela Mollel Arusha. Benki ya NMB imefungua milango kwa wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali nchini kupata mikopo ya mitaji na vifaa muhimu, yakiwemo mitambo, ili kuweza kutekeleza kwa ufanisi tenda wanazoshinda kupitia mfumo wa manunuzi wa serikali, NeST. Akizungumza katika Kongamano la Tisa la Ununuzi wa Umma jijini Arusha, Meneja Mwandamizi wa Fedha za Biashara…

Read More

Kipa wa JKT Tanzania aitaja penalti ya Simba

KIPA wa JKT Tanzania,  Yakubu Suleiman amesema tangu msimu uanze mechi iliyosalia katika kumbukumbu zake ni dhidi ya Simba, iliyopigwa Uwanja wa KMC Complex, Desemba 24, 2024. Aliitaja sababu ya kutoisahau  mechi hiyo ambayo ni kufungwa dakika za nyongeza bao la penalti na Jean Ahoua wakati dakika 90 za mchezo akiwa ameokoa hatari nyingi akiamini…

Read More