PUMA ENERGY TANZANIA YASHIRIKI KONGAMANO KUKUZA USHIRIKISHWAJI WATANZANIA SEKTA YA MADINI.
::::::::: Mwanza, Juni 18, 2025: Puma Energy Tanzania imethibitisha dhamira yake ya kuiunga mkono sekta ya madini nchini kwa kushiriki katika kongamano la kitaifa la siku tatu lililoandaliwa na Wizara ya Madini. Kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa Malaika Beach Resort, jijini Mwanza na kuwashirikisha wadau mbalimbali kutoka serikalini, sekta binafsi na mashirika ya kiraia,…