Mbunge ataka sheria ya lazima watoto kutunza wazazi wao

Dodoma. Serikali ya Tanzania haina sheria ya kuwalazimisha watoto kuwatunza wazazi wao pindi watakapozeeka. Hata hivyo, itaendelea kufanya tathmini wakati wa utekelezaji wa sera ya wazee iliyoboreshwa ambayo ina tamko la kuwataka watoto kuwajibika kuwatunza wazazi, na endapo kutakuwa na umuhimu wa kuwepo na sheria maalumu kwa ajili hiyo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri…

Read More

Bunge lifanye marekebisho haya kabla ya kuvunjwa

Leo naanza kwa kumpongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, kwa kutoa kauli ya wazi kuhusu mgawanyo wa madaraka baina ya mihimili mitatu ya dola. Bunge, Serikali na Mahakama. Katika kauli yake, Dk Tulia alieleza dhana muhimu ya mgawanyo wa madaraka na mfumo wa kuwekeana mizani na udhibiti wa…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Chuya haikosi kwenye pishi ya mchele

Mara nyingi tumeona wakulima wadanganyifu wakiloweka mtama kabla ya kuupeleka kwenye mzani. Wengine wamekuwa wakitia mchanga kwenye mazao ionekane kama vile mchanga uliingia bahati mbaya wakati wa kuvuna. Lakini lengo lao ni kuongeza uzani na kupata faida kubwa kutoka kwa mnunuzi. Huu ni wizi kama wizi mwingine, na mhusika anafaa kuchukuliwa hatua anazochukuliwa mwizi. …

Read More

Israel yazidi kushambulia Iran, Trump ataka ijisalimishe

Dar es Salaam. Maelfu ya watu wameanza kukimbia kutoka Tehran na miji mingine mikuu nchini Iran, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya nchi hiyo. Hatua hiyo inakuja wakati Iran na Israel zikiendelea kushambuliana kwa makombora licha ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuitaka Iran ijisalimishe bila masharti. Jeshi la Israel limeripoti kwamba mafungu mawili…

Read More

Ngoma tatu nzito za Mzize

MSIMU wa Ligi Kuu Bara uko ukingoni, huku mashabiki wa soka wakisikilizia kujua utamalizikaje? Je ni ubingwa utatua mitaa ya Jangwani au Msimbazi? Zipi ni timu ambazo zitacheza mtoano kuwania kucheza na ile ya Championshipi ambayo ni Stand United? Sikia, wababe Simba na Yanga wako mzigoni leo katika viwanja viwili tofauti wakiwania ubingwa wa ligi…

Read More

CFAO MOBILITY AND BAKHRESA UNVEIL NEW FUSO TRUCKS

  Katika hatua inayoonesha umuhimu wa ushirikiano wa kibiashara katika maendeleo ya taifa, CFAO Mobility Tanzania imefanya makabidhiano ya awali ya malori mapya aina ya Fuso CANTER FE84 kwa Bakhresa Food Products Limited (BFPL), ikiwa ni sehemu ya mchakato wa upanuzi wa floti ya malori 100 unaolenga kuboresha usafirishaji na ufanisi wa usambazaji wa bidhaa…

Read More

Dili la Camara mikononi mwa Diarra

KUNA lile bato la Djigui Diara, kipa mwenye rekodi zake bora katika Ligi Kuu Bara kwa misimu minne na yule wa Simba, Moussa Camara aliyetua Msimbazi msimu huu ambao wanawania ubabe wa ‘cleen sheet’ mwisho wa msimu. Lakini, nyuma ya hilo makipa hao pia wana mengi, ingawa kwa Camara huenda akawa na jipya ambalo kwa…

Read More