MAN UNITED KUKIPIGA NA ARSENAL MECHI YA KWANZA EPL

::: Ratiba ya Ligi kuu Nchini Uingereza leo imeachiwa rasmi ikitarajiwa kurudi rasmi kuanzia tarehe 15/8/2025 huku wengi wakivutiwa na namna ratiba hiyo ilivyopangwa hususani mchezo kati ya Man Utd dhidi ya Arsenal moja ya mechi nzuri wadau wengi wa Soka wakisubiri wachezaji wapya watakaoingia kwenye timu zao pendwa baada ya dirisha hili la Usajili….

Read More

LIGI KUU: Kuna vita mbili Mbeya

LIGI Kuu Bara inaendelea leo Jumatano na timu zote 16 zitakuwa kwenye viwanja nane tofauti kusaka hatma ya kutamatisha msimu huu huku kukiwa na mechi moja yenye vita mbili tofauti ikizihusisha Tanzania Prisons dhidi ya Yanga. Kwenye mechi hizo nane ambazo zote zitachezwa kwa muda mmoja kuanzia saa 10:00 jioni, kila timu itakuwa na hesabu…

Read More

Fujo zaiponza KVZ, yalimwa faini Sh3 milioni

SHIRIKISHO la Soka Zanzibar (ZFF), limeipiga faini ya Sh3 milioni, KVZ baada ya kubainika mashabiki wake kufanya vurugu katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (ZFF Cup) dhidi ya Uhamiaji. Mechi hiyo iliyochezwa Juni 11, 2025 saa 10 jioni kwenye Uwanja wa Mao A, kisiwani Unguja, KVZ ilitoka na ushindi wa mabao 2-1…

Read More

Kauli ya Rais Trump Kuhusu Anga la Iran Yazua Taharuki ya Kimataifa – Video – Global Publishers

Washington D.C. – Dunia imeingiwa na wasiwasi mkubwa kufuatia kauli ya aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald J. Trump, aliyodai kuwa Marekani “inamiliki na inadhibiti kikamilifu” anga la Iran. Kauli hiyo imeibua hisia kali na mjadala mpana wa kimataifa, hasa ikizingatiwa kuwa imetolewa wakati hali ya usalama katika eneo la Mashariki ya Kati ikiendelea kuzorota kutokana…

Read More

Mgogoro wa Afya ya Akili ya Ulimwenguni unazidi kukiwa na pengo la ufadhili wa dola bilioni 200 – maswala ya ulimwengu

Huko New York, washiriki wanahudhuria usikilizaji wa wadau wengi kwa kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoweza kuambukiza na afya ya akili na ustawi. Mkopo: UN PICHA/LOEY FELIPE na Oritro Karim (Umoja wa Mataifa) Jumatano, Juni 18, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa Mataifa, Jun 18 (IPS) – Ingawa upatikanaji wa huduma za afya ya…

Read More

Rungwe aruhusiwa kutoka hospitalini  | Mwananchi

Moshi. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashimu Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa ambaye alikuwa amelazwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) ameruhusiwa baada ya afya yake kuimarika. Rungwe ambaye alikuwa katika ziara ya operesheni ya C4C mkoani Kilimanjaro, alipata changamoto ya afya Juni 14, 2025 na kupelekwa KCMC kwa ajili…

Read More

Bunge lifanye marekebisho muhimu kabla ya kuvunjwa

Leo naanza kwa kumpongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, kwa kutoa kauli ya wazi kuhusu mgawanyo wa madaraka baina ya mihimili mitatu ya dola. Bunge, Serikali na Mahakama. Katika kauli yake, Dk Tulia alieleza dhana muhimu ya mgawanyo wa madaraka na mfumo wa kuwekeana mizani na udhibiti wa…

Read More