Ni mwaka wa uamuzi, wanawake jitokezeni kugombea nafasi za uongozi
Mwaka 2025 ni mwaka muhimu kwa mustakabali wa taifa la Tanzania, ni mwaka wa uchaguzi mkuu ambao utatoa mwelekeo mpya wa kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa miaka mingine mitano ijayo. Katika kipindi hiki, ndicho ambacho Watanzania Bara na Visiwani hupata nafasi ya kuwachagua viongozi watakaosimamia rasilimali, kuunda sera na kusimamia utekelezaji wa maendeleo katika maeneo…