Kibarua kinachomsubiri Dk Kimambo Muhimbili
Dar es Salaam. Gharama kubwa za huduma za matibabu, miundombinu na teknolojia ni miongoni mwa mambo yaliyotajwa na wadau kuwa yanapaswa kushughulikiwa na mengine kuendelezwa na uongozi mpya wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, MNH. Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwamo Dk Delilah Kimambo kuwa…