
July 2025


Wanadamu wanaonya juu ya hali mbaya ya njaa, mashambulio kwa raia – maswala ya ulimwengu
Kati ya vifo 154 vinavyohusiana na utapiamlo tangu Oktoba 2023 (pamoja na watoto 89) kuripotiwa na Mamlaka ya Afya ya Gazan, Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) alisema 63 ilitokea Julai pekee. Vifo hivi vinafuata kushuka kwa kasi kwa matumizi ya chakula: asilimia 81 ya kaya ziliripoti matumizi duni ya chakula mnamo Julai (kutoka asilimia 33…

MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU MAALUM UVCCM YAMEKAMILIKA
::::::::::: Pichani ni Viongozi wa sekretariet ya Umoja wa Vijana CCM Wakikabidhi vifaa mbali mbali wezeshi Kwa ajili ushiriki wa mkutano mkuu wa maalum wa UVCCM Mkutano mkuu maalum wa Uvccm unatarajiwa kufanyika mnamo tarehe 1/08/2025 katika Ukumbi wa Jiji,Mtumba Jijini Dodoma

TIRA na DSE wasaini Makubaliano ya Kimkakati Kuimarisha Sekta ya Bima na Masoko ya Mitaji
Na Karama Kenyunko, Michuzi Tv MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wamesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya sekta ya bima na masoko ya mitaji nchini. Pia Taasisi hizo mbili zitashirikiana pamoja na ujumuishaji wa kifedha ili kuimarisha uwekezaji katika…

Tucasa yataja mwarobaini ucheleweshaji malipo ya makandarasi
Dar es Salaam. Ili kukabiliana na changamoto ya ucheleweshaji wa malipo ya makandarasi, Chama cha Umoja wa Makandarasi na Watoa Huduma Shirikishi Tanzania (Tucasa) kimependekeza kuanzishwa kwa sheria ya malipo (Security of Payment Act). Pia wamependekeza taasisi za ununuzi kutoa dhamana ya malipo (Payment Guarantee) ili kuondoa changamoto ya ucheleweshaji wa malipo. Hayo yamebainishwa leo…

Watatu kortini wakidaiwa kujipatia Sh1.8mil kwa njia ya ‘tuma pesa kwa namba hii’
Dar es Salaam. Wakazi watatu wa Kyela mkoani Mbeya wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka 51 yakiwemo ya kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine na kujipatia Sh1.8 milioni kwa njia ya udanganyifu. Wakili wa Serikali, Michael Sindai amewataja majina yao ni Daniel Mwazyele (20),…

VGS 110 KUONGEZA NGUVU UDHIBITI WA WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBIFU
************** Na Sixmund Begashe – Namtumbo Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea kuimarisha mikakati ya ulinzi wa rasilimali za Maliasili na hasa udhibiti wa Wanyamapori wakali na waharibifu katika jamii, kupitia Askari Wanyamapori wa Vijiji (VGS). Hayo yamesemwa na Afisa Mhifadhi Mkuu Malikale Bi. Mwantum Haidari kwa niaba ya Mkurugenzi wa Kitengo cha…

Samia ataka Kwala imalize foleni Dar
Dar es Salaam. Uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala, iliyoko Kibaha mkoani Pwani, unatarajiwa kuwa mkombozi mkubwa katika kupunguza msongamano wa malori barabarani, kupunguza muda wa safari za usafirishaji wa mizigo na kuongeza ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam, hatua inayotarajiwa kuchochea kwa kasi ukuaji wa uchumi nchini. Bandari hiyo mpya, yenye ukubwa wa…

BOOST YALETA MAGEUZI YA TEHAMA WALIMU WAJIVUNIA UJUZI MPYA
Mradi wa Kuimarisha na Kuboresha Elimu ya Awali na Msingi (BOOST) imewezesha vifaa vya TEHAMA katika shule teule na vituo vya walimu 400 ili kurahisisha ujifunzaji na ufundishaji kwa njia za kisasa. Aidha imewajengea uwezo walimu 600 wa TEHAMA, walimu wakuu 600, na waratibu elimu kata 450 namna ya kutumia vifaa hivyo kwa tija katika…

WAKAZI BWIRO BUKONDO UKEREWE WATOA SHUKRANI KWA RAIS SAMIA UJENZI KIVUKO KIPYA
::::::: Wafanyabiashara na wakazi wa maeneo ya Bwiro na Bukondo Wilayani Ukerewe Mkoani Mwanza wametoa shukrani za dhati kwa Serikali kufuatia kuwajengea maegesho ya kivuko pande zote mbili za Bwiro na Bukondo ikiwa ni maandalizi ya ujio wa kivuko kipya cha MV. BUKONDO. Kivuko cha MV. BUKONDO tayari kimefikia zaidi ya asilimia 94% ya ujenzi…